Monday, June 30, 2014

TASWIRA MBALIMBALI ZA JIJI LA MALABO, EQUATORIAL GUINEA

Uwanja wa ndege wa Kimataifa  wa Malabo
Mkeka wa uhakika
Majengo ya kisasa
Barabara na vivuko vya watu vya kisasa
Katikati ya jiji la Malabo
Sehemu ya nyumba nyingi zinazojengwa na serikali kwa ajili ya wananchi
Makampuni makubwa ya ujenzi ya kimataifa yapo Malabo
Majengo ya kisasa
Barabara za kileo
Uswazi si kubaya sana
Miti na maua kila mahali
Majengo ya kupendeza
Fleti kibao za wananchi na miundombinu bomba
Fleti zaidi
Flyovers kibao
Fleti zaidi
Kampuni kibao za Kichina zipo Malabo
Vikwangua anga vya uhakika
Ulinzi kila kona
Mjengo mpya
Jengo la Wizara ya habari
Vikwangua anga kibao vinamea kila mahali
Kutumia barabara sio bure Ukifka hapa lazima ulipie
Miundo mbinu ya Malabo si mchezo
Wakiwezeshwa, kinamama wanaweza: Trafiki wa Malabo kinamama
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo
Nje ya ukumbi wa Sipopo
Barabara kando ya bahari ya Atlantiki
JK na ujumbe wake katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Sipopo

Ndani ya Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Sipopo
Sehemu za waemndao kwa miguu kuelekea ukumbini hapo
Mandhari ya Beach ya Sipopo
Maegesho ya magari Beach ya Sipopo
Hall of fame ya ukumbi wa Sipopo ambapo picha za marais wote wa Umoja wa Afrika zimetungikwa
Uswazi ya Malabo si kubaya sana
Wana malabo wanathamini sana utamaduni wao
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza

Sehemu ya ufukwe wa Sipopo
Bendera za kila nchi ya Umoja wa Afrika zipo hapa
Coco  Beach ya Sipopo
Sipopo Beach Club
Ukaguzi wa magari kwa njia ya kisasa
Pamoja na mazuri yote hayo, ikija kwenye huduma ya usafiri wa watu wengi Malabo inabidi wajipange upya. Hapa ni katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa malabo ambapo abiria wamerundikana kama kondoo
Abiria wakiwa katika harakati za kupata boarding pass kwa zogo la hali ya juu
Kuelekea kwenye ndege ni msobemsobe pia....

2 comments:

Anonymous said...

Sasa Uncle, haya mambo viongozi wetu hawayaoni? jamani hata kucopy na paste tunashindwa? Na nyinyi mnaotembea nao kila mara hayazungumzi haya? Kuna mambo ambya hayaitaji pesa za kigeni na utaalamu wa roketi kuyafanya, yanahitaji zaidi utashi na miongozo tu.

Anonymous said...

Kaka nahitaji kuongea na wewe kuhusu hii article