Wednesday, June 27, 2012

Evans Bukuku's Comedy Club @ Nyumbani Lounge

Mchekeshaji wa maarufu nchini kutoka kundi la Vuvuzela Entertainment,Evans Bukuku akifanya vitu vyake usiku wa kuamkia leo kwenye shoo yake ya kina jumanne ya mwisho wa mwezi iliyofanyika kwenye kiota cha Nyumbani Lounge,Jijini Dar esa Salaam.
Evans Bukukua akioendelea kuvunja mbavu za watu waliofika kwenye shoo yake hiyo.
Hapa akiimba moja ya nyimbo zake za vituko ambayo ukiisikiliza waweza pasuka kabisa kwa kucheka.
Mdau Busaganda akifanya vitu vyake.
Dogo pepe nae akikaa stejini lazima ukae,maana nae ni mkali sana wa kuvunja mbavu.
Enika nae ndani.
Wazee wa Kazi wakiwajibik.
Yaani ilikuwa ni burudani kwa kila alieweza fika pale,kwani ilikuwa haiwezekani ukaingia na kutoka huku ukuwa umenuna na hujacheka mwanzo mwisho.

No comments: