Saturday, January 29, 2011

hepi besdei ya kuzaliwa shemeji marshall leo

Ankal na my sista wake Mishi wakipozi na mama yao kwa furaha wakati wa mnuso wa sherehe za hepi besdei ya Marshall, mumewe Mishi leo huko Mikocheni, Dar
wageni waalikwa katika mnuso huo
wageni waalikwa katika mnuso huo
Mama na rafikiye katika mnuso huo
Mishi akiwa na mumewe Marshall (kulia)
na rafiki yao wa karibu Njoolay

Mishi akiwa na mumewe Marshall (kulia)
na rafiki yao wa karibu Njoolay
Mishi na mama zake wadogo
Mishi na baba na mama walezi wake,
Mzee Shebe na Mama Shebe

Mishi na wageni wake
Mishi akiwa na wageni wake

Mishi akiwa na wageni wake

Mishi akiwa na wageni wake
Palipendeza....
Mishi akijichanganya na wageni wake
Mpiga picha wa kulipwa Raqey na mai waifu wake walikuwepo
Marshall na marafiki zake
Keki ikiwekwa mezani
Mishi akimuwashia mumewe mshumaa
Mzee Shebe, mzazi wa Mishi, akitoa nasaha
Mzee Nguma akiongea kwa niaba ya familia ya shemeji Marshall
Furaha ya siku
Marshall akikata keki yake
Mmmmmmmmmhhh.... tamu!
Mishi na wadau
Mishi akifurahi na Patrick Shang'a na mai waifu wake
Patrick akiongoza kuomba dua ya siku hii
Da'Cecy alikuwepo pia
Mishi na Ankal wake
Mishi akiwa na wageni wake
Mishi akipozi na Ndenego na mdau
Mishi akishukuru wadau waliojitokeza kumuunga mkono
Marafiki wa Mishi na Marshall
Marafiki wa Mishi na Marshall wakifurahia siku hii

1 comment:

Anonymous said...

hey marshall you have just turn 26? wow jamani mpendezaaa ile mbayaaaaa. bongo pamba na wewe...wewe na pamba...mmekoleaaa